Na mchamba wima asil yake ni nini?
Asante mkuu kwa masahihisho. Uko sahihi.Point of correction:Ni Mousa Bin Bek siyo Musa Mbiki,ni kweli alikuwa ni mwanazuoni wa kiarabu aliyekaa kwa muda mrefu sana pwani ya msumbiji na alikuwa na Madrasa kubwa sana iliyomfanya awe na followers wengi na kuwa maarufu kabal ya wareno hawajaingia msumbiji,inaaminika kuwa alikuwepo huko tangu kati ya 15 na 16.
Watu wa huko hupenda kupiga Soga badala ya kazi ndio maana maendeleo yaliyoletwa na waarabu yalipotea hadi leo imebakia historia tu watu huko wana vichwa nazi.......na MSOGA?
Jina dodoma asili yake ni eneo la swamp ambalo ng'ombe walikuwa wanadidimia . eneo hilo ndio present day Dodoma.
Musa Hassan lilianza kubadilishwa na wamakonde waliokuwa wengi eneo hilo na kuita kwa 'Nsa' Asani kutokana namatamshi ya kichinga baadae likawa Msasani
Na MabwePande asili yake nini?
Kuna LOGIA , Babati . Kutokana na mlima walitakiwa kuendesha gari KUTUMIA LOW GEAR. KIBORLONI (KIBO ALONE) na KIBIRIZI ,KIGOMA (COOL BREEZE)very interesting! Guys whoever knws the origin of the name of any place, just post it plz. It's so good to know our roots, so that we can live long enough to narrate it to the next generation.
Inaaminika raia wote wa nchi ya FIJI walitokea RUFIJI
Nini asili ya neno Temeke?Point of correction:Ni Mousa Bin Bek siyo Musa Mbiki,ni kweli alikuwa ni mwanazuoni wa kiarabu aliyekaa kwa muda mrefu sana pwani ya msumbiji na alikuwa na Madrasa kubwa sana iliyomfanya awe na followers wengi na kuwa maarufu kabal ya wareno hawajaingia msumbiji,inaaminika kuwa alikuwepo huko tangu kati ya 15 na 16.
Mussa Bin Bique (Arabic: موسى بن بيك), other names Musa Al Big or Mossa Al Bique or Mussa Ben Mbiki or Mussa Ibn Malik, was a ruler of the Island of Mozambique, before the Portuguese overtook the island around 1500.Point of correction:Ni Mousa Bin Bek siyo Musa Mbiki,ni kweli alikuwa ni mwanazuoni wa kiarabu aliyekaa kwa muda mrefu sana pwani ya msumbiji na alikuwa na Madrasa kubwa sana iliyomfanya awe na followers wengi na kuwa maarufu kabal ya wareno hawajaingia msumbiji,inaaminika kuwa alikuwepo huko tangu kati ya 15 na 16.