Asia aliikosa ndoa kwa kutingisha kibiriti kilichojaa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,794
Asia tunaishi nae mtaa mmoja hapa kwetu Kwamtogole. Ametoka katika familia ya waliostaarabika sana. Huko shuleni alikutana na Daudi kijana na walianza urafiki wakiwa A level. Daudi alipata scholarship ya kwenda kusomea u daktari Uturuki baada ya kumaliza kidato cha sita na kupata alama bora.

Asia alilia kwa uchungu wakati Daudi anaondoka. Daudi alimhakikishia kuwa penzi lao litaendelea. Daudi aliondoka kwa ndege ya Shirika la Ndege la Uturuki. Asia alirudi nyumbani baada ya kumsindikiza Daudi na mawasiliano yao yakiendelea WhatsApp, Instagram na hata TikTok.

Asia kushirikiana na familia yake kuendesha mgahawa wa familia. Daudi aliahidi kurudi nyumbani wakati wa kuangazi akiwa amemaliza mwaka wa kwanza wa masomo. Bahati nzuri alipata kazi chuoni, kuna utafiti ulikua unaendelea na wanafunzi walipewa nafasi ya kushiriki kwa malipo. Daudi aliifanya ile kazi na aliweza kutuma vizawadi kwa Asia.

Siku si haba Daudi alirudi likizo na hatimae akimalimaliza shule. Kule chuoni walimu wake walimpendekeza kwa ajira katika hospitali aliyofanyia mazoezi. Daudi aliwaomba arudi nyumbani kwanza kuwaona ndugu zake kwani ni mara ya kwanza atakua nyumbani bila stress za masomo.

Asia alipomuona Daudi amerudi alijua Daudi ata anza mipango ya posa maana kumsubiri mtu miaka mitano si utani. Daudi alimpenda Asia lakini hakumtaarifu habari za ajira mpya Uturuki.

Asia aliamua kutingisha kibiriti na kumwambia Daudi kama hapeleki barua ya posa kuna aliyepeleka barua kwao. Daudi alimwambia ninashukuru kuwa umenisubiri kwa muda mrefu lakini kama kuna aliyeniwahi kutoa posa basi wewe olewa tu mama mimi siko tayari kwa sasa.

Asia aliona aibu kusema alitingisha kibiriti, hivyo ndivyo akivyovunja uhusiano wake na Daudi. Daudi alirudi Uturuki kuanza ajira wakati huku kuna aliyeleta posa ya kweli kumoa Asia.

Daudi alifanya kazi kwa miaka mitatu ndipo aliporudi nyumbani na kwenda kumnunulia bibi yake dawa ya kidonda dukani alipokutana na binti mrembo anaeuza duka. Daudi alimpenda yule binti na kumuomba ampe wasaa akimaliza kazi.

Baada ya kumfahamu binti muuza duka la dawa, siku moja Daudi alimuuliza yule binti kuwa unapenda kuolewa na mwanaume asiye ishi Dar? Yule binti alijua Daudi anafanya kazi mikoani labda atakwenda kuishi Mtwara. Moyoni alimpenda na alikua tayari kwenda kuishi kokote. Lakini hakutegemea kwenda kuanza maisha Uturuki.
 
Upendo wa kweli haupimwi ? Na kwa nini Daud amjaribu Asia? Asia naye alitikisa kiberiti ?

Kila mtu amevuna alichopanda. Somo kwa wasioa SUBRA inaponya.
 
Asia alitarajia kuolewa na Daudi baada ya kumaliza masomo, na hii ni ahadi(penzi litaendelea) sasa Asia kapoteza miaka mitano anavumilia, Daudi anakuja mwambia hayuko tayari kuoa kwa sasa ni kosa kubwa bora angemwambia mapema, vipi waliomtongoza Asia ili wamwoe na kawakataa kwa miaka mitano yote iliyopita .

Daudi ni kichaa tu na ni jinga lao anapaswa kupigwa risasi 7 za kichwa na 4 za kifua na asife.
 
Asia tunaishi nae mtaa mmoja hapa kwetu Kwamtogole. Ametoka katika familia ya waliostaarabika sana. Huko shuleni alikutana na Daudi kijana na walianza urafiki wakiwa A level. Daudi alipata scholarship ya kwenda kusomea u daktari Uturuki baada ya kumaliza kidato cha sita na kupata alama bora.

Asia alilia kwa uchungu wakati Daudi anaondoka. Daudi alimhakikishia kuwa penzi lao litaendelea. Daudi aliondoka kwa ndege ya Shirika la Ndege la Uturuki. Asia alirudi nyumbani baada ya kumsindikiza Daudi na mawasiliano yao yakiendelea WhatsApp, Instagram na hata TikTok.

Asia kushirikiana na familia yake kuendesha mgahawa wa familia. Daudi aliahidi kurudi nyumbani wakati wa kuangazi akiwa amemaliza mwaka wa kwanza wa masomo. Bahati nzuri alipata kazi chuoni, kuna utafiti ulikua unaendelea na wanafunzi walipewa nafasi ya kushiriki kwa malipo. Daudi aliifanya ile kazi na aliweza kutuma vizawadi kwa Asia.

Siku si haba Daudi alirudi likizo na hatimae akimalimaliza shule. Kule chuoni walimu wake walimpendekeza kwa ajira katika hospitali aliyofanyia mazoezi. Daudi aliwaomba arudi nyumbani kwanza kuwaona ndugu zake kwani ni mara ya kwanza atakua nyumbani bila stress za masomo.

Asia alipomuona Daudi amerudi alijua Daudi ata anza mipango ya posa maana kumsubiri mtu miaka mitano si utani. Daudi alimpenda Asia lakini hakumtaarifu habari za ajira mpya Uturuki.

Asia aliamua kutingisha kibiriti na kumwambia Daudi kama hapeleki barua ya posa kuna aliyepeleka barua kwao. Daudi alimwambia ninashukuru kuwa umenisubiri kwa muda mrefu lakini kama kuna aliyeniwahi kutoa posa basi wewe olewa tu mama mimi siko tayari kwa sasa.

Asia aliona aibu kusema alitingisha kibiriti, hivyo ndivyo akivyovunja uhusiano wake na Daudi. Daudi alirudi Uturuki kuanza ajira wakati huku kuna aliyeleta posa ya kweli kumoa Asia.

Daudi alifanya kazi kwa miaka mitatu ndipo aliporudi nyumbani na kwenda kumnunulia bibi yake dawa ya kidonda dukani alipokutana na binti mrembo anaeuza duka. Daudi alimpenda yule binti na kumuomba ampe wasaa akimaliza kazi.

Baada ya kumfahamu binti muuza duka la dawa, siku moja Daudi alimuuliza yule binti kuwa unapenda kuolewa na mwanaume asiye ishi Dar? Yule binti alijua Daudi anafanya kazi mikoani labda atakwenda kuishi Mtwara. Moyoni alimpenda na alikua tayari kwenda kuishi kokote. Lakini hakutegemea kwenda kuanza maisha Uturuki.
hujambo dada, habar za siku nyingi kidogo.
 
Li shangazi kwenye ubora wako
 
Back
Top Bottom