Asenga kuziba mto ulioacha njia yake Kilombero

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Alitembelea mto huo jana kisha kufanya kikao na wadau jinsi gani kero hiyo ya wananchi inaweza kutatuliwa haraka.

Makubaliano yalikuwa kwakuwa Halmashauri ina greda basi atachangia mafuta na Mkt wa CCM wilaya ya Kilombero Mzee Kambangwa atasiamamia jambo hilo.

Kwakuwa wananchi wa Kilimbero mwakilishi wetu bado kaziba mdomo na tunazidi kuumia.

Tunajuta kumuacha Asenga.

Tunaimani ktk kesi ya rufaa ya uchaguzi inayoendelea Mungu ataleta heri yake.Tutakula vichwa vya mabubu

Kosa kurudia kosa

 
Kulikua na haja gani ya kutuletea huku jf????
 
Na Mkuu Mpya wa Wilaya Kilombero kishateuliwa,Asenga wa Pakaya Bora urudi Rombo kwenu kupambana na wa Wa Kenya wanaokodiwa na Dada zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…