Asasi za Kiraia zaitaka TRA kuwaondolea kodi ili Watekeleze Majukumu yao kwa Uhuru

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
537
755
Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii.

Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe 10 Mei 2024, Suleiman Baitani, ambaye anafanya kazi na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania zanzibar (THRDC), ameitataka Mamlaka ya Mapato ya Tanzania - Tanzania Revenue Authority(TRA), kuangalia namna ya kuwaondolea kodi asasi za Kiraia(AZAKI) ili Watekeleze Majukumy yao kwa Uhuru.

“Sisi tumekuwa tukijitahidi kwa pamoja na wadau kama jumuia ya Wanawake wenye Ulemamavu Zanziabar(JUWAUZA) lengo ni kuangalia ni kuangalia namna gani tunaweza kuboresha mifumo ya utendaji wa asasi za Kiraia. Swala moja kubwa ambalo limekuwa likiibuka kwenye asasi za Kiraia ni Swala la Kodi.

Tukifahamu swa;a la kodi sio swala la Kizanzibari tu au swala la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ni swala pia linahusisha Serikali ya Jamhuri kwa sababu wote tunaitumia TRA. Hakuna swala kwamba limejitenga kwamba kuna TRA ya bara na TRA ya Zanzaibar, TRA ni moja. Jambo kubwa kuliko yote ni kwamba wadau wa Sekita wamekuwa wakifananishwa na wafanyabiashara wamekuwa wakifananishwa na watu wanaolipa kodi. Unakuta Asasi ya Kiraia haijawahi kupata Mradi muda mrefu halafu unaenda unakuta ina malimbikizo ya kodi Milioni 300 Milioni 400 miliono 200 na ukija kuangalia ni changamoto”. Amesema Suleimani.

Amesema asasi za Kiraia ni Watoa Huduma, Wanasaidia Serikali pale ambapo hawawezi kutoa huduma. Amesema Asasi za Kiraia zinaishi maeneo ambayo wanayafanyia kazi na huduma wanazozitoa sio za kukusanya kodi. Amesema kitendo cha kufanya Asasi za Kiraia zionekani kama zinakusanya kodi inakuwa changamto. Hivyo wanaitaka TRA ione umuhimu wa kuwaondolea kodi ili wafanye kazi kwa Uhuru.
 
View attachment 2987051
Mbona sheria ipo wazi kabisa kuwa kuna misamaha iwapo kweli huduma zinatolewa kwa ajili ya jamii? Au kuna nini kipya? Shida wengi wanakuja na taasisi sijui za kusaidia mwisho walengwa maskini bila kufahamu wanapigwa na kutumika. Utasikia sijui nani kafungua taasisi ya kusaidia fatilia chanzo cha pesa unakuta wanakusanya walengwa ili kupata picha na kutuma nje mwisho wa siku ikija pesa maisha yao yanaendelea kula zile pesa. Sheria ukisoma inasema wazi mapato yao hata kama wamepewa nje 75% yahudumie 25% ndiyo iwe cost zao. na tra lazima wajue huo mzunguo wote. Hebu tuwaonee huruma hawa ndugu zetu kuwatumia kujipatia pesa na kuja taka bado na kodi isilipwe.Kama kweli tupo serious kuna kesi kibao mahakamani sijawahi siia wakijitolea kwenda tetea watu bure tungeanzia hapo
 
Back
Top Bottom