Asasi nane za Kiraia(Civil Society) zatangaza Kampeni dhidi ya Ukandamizaji wa Demokrasia

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,966
Asasi hizo za kiraia {Civil Societies} za Tanzania, Jumatano wiki hii yalitangaza rasmi kuanza KAMPENI ya MWAKA MZIMA dhidi ya Serikali ya Magufuli inayolaumiwa dhidi ya UKANDAMIZAJI wa Demokrasia.

Asasi hizo zinadai, serikali ya Rais Magufuli imeondoa UHURU uliokuwepo ulioachwa na WATANGULIZI wake.

Tanzania Legal and Human rights Centre, moja ya Asasi hizo imenakiliwa ikisema
" Bila UHURU wa KUJIELEZA na uhuru wa KUKUSANYIKA Tanzania hakuwezi kuwa na MAENDELEO".
Katika kampeni zao sitahusisha SEMINA, MIJADALA, na DEBATE.

Rais Magufuli amekuwa akilaumiwa kwa kutumia NGUVU, na UKANDAMIZAJI ikiwa ni pamoja na KUPITISHA sheria ambazo ZINAZUIA fundamental rights/ HAKI za KIMSINGI.

Moja ya sheria hizo ni ile ya mwaka 2016,
Media Service Act. Ambayo inaweka vizuizi kwa WAANDISHI wa Habari, Bloggers na WATUMIAJI wa MITANDAO ya KIJAMII ambayo ingali iko mahakamani ikipingwa.

Asasi hizo zinadai kumekuwa na ukandamizaji aina MBILI.
Moja ni kutoka SERIKALINI na pili, POLISI.
Hivi vyote ni katika kuzuia watu WASIKUSANYIKE.

Mashirika hayo yanasema MIKUSANYIKO YA AMANI ni lazima IRUHUSIWE. Ili watu waweze kuchangamana.

Hili litasadia KUBADILISHANA MAWAZO, MAONI, kuhusu issues za MAISHA yao.
Inadaiwa rais Magufuli ameonyesha kutokuwa na UVUMILIVU hasa katika MAONI yanayoonekana KUTOFAUTIANA NAYE.
CHANZO:
Shirika la habari la AFP
 
Mbona waliachia mpk hiyo sheria ikapita..? au walikuwa usingizini bora jamii media ililiona lkn faili ndo hivyo halionekani!
 


Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
 
serikali za kiafrica bado haziamini kuwa kuna uhusiano kati ya uhuru wa kujieleza na maendeleo.
 
Mashirika 8, bahati mbaya nimeona moja tu hapo mkuu. Mengine saba sijayaona, tupia mkuu ama wasiliana na AFP tuyaone.
 

Nafikiri unatekeleza uhuru unaoitwa "UHURU WA KUSIFIA".
 
Pesa za misaada zinawatia wazimu.Kama kuna ukandamiza wa demokrasia na uhuru wa kujieleza,wasingepata hata hiyo nafasi ya kutoa tamko lao.
 
Kwa sababu unabishana na mkeo kitandani basi unadhani una uhuru wa kuongea!! Bull shit!!
 


Wewe hujawahi kujieleza kwa sababu kichwa chako hakifanyi kazi. Unasubiri utumwe nin icha kusema. Hujawahi kujieleza na wala huna uwezo huo na hutakuwa nao.

Watu kama wewe wenye vichwa kama furushi la vinyesi, hili haliwahusu. Hata ukiambiwa jieleze utajieleza nini wkati kcihwa chako ni funza? Unajua nini wewe hadi ujieleze? Puambbuere kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…