Itika Mapatano
Member
- Oct 17, 2019
- 73
- 61
Wakati Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha MPIRA MKOA wa Arusha ukikaribia Uongozi wa Arfa uliopo madarakani chini ya Mwenyekiti Mjema umeanza kucheza Rafu kwa kupanga safu za Viongozi wa Vyama vya Soka Wilaya (District Football Associatons) kinyume Cha Sheria, Kanuni na Taratibu za Chguzi za TFF NA BMT.
Chama cha Soka Mkoa wa Arusha kimesimamia uvunjwaji wa Sheria kwenye Uchaguzi wa Chama cha Soka Wilaya ya Lingido kwa kuruhusu Viongozi wa Wilaya kuteuana bila kuteua Kamati ya Uchaguzi,kutangaza Uchaguzi,uchukuaji wa Fomu,Usaili na Uchaguzi wenyewe.
Lengo la yote hayo ni ili kuwaandaa wapiga kura wa kumpitisha Mwenyekiti aliepo hivi sasa Madarakani Ndgu. Mjema.
Serikali ya Mkoa wa Arusha na TFF ipo haja ya kusimamia Taratibu zifuatwe kwa maslahi mapana ya MPIRA wa Miguu Arusha ambao umeangamia hivi kwa sababu Viongozi waliopo Madarakani hawana vision ya maendeleo ya Mkoa zaidi ya matumbo yao