Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

Retired
Ni kweli mimi si mwana sheria lakini nimefuatilia tangu mwanzo na nimeona mawakili wa serikali wakitumia vipengele ambavyo hatuvizoea katika kuzuia dhamana.Kwa mfano,Hakimu alikubali dhamana na akaahirisha kesi kwa muda lakini aliporudi akaifuta dhamana.Hili ni jambo ambalo hatukulizoea.Nakiri mimi ni layman katika sheria ingawa nina degree zingine mbili.
 
kama atapata dhamana na kurudi uraiani, na kuanza tena vurugu zake..... ndio nitajua kuwa mbunge huyu ni msela tena ni kichwa kibovu.....
 
Dah pole sana mungu atamsadia atoke huko na aendelee na majukumu yake japo najua anaweza kuja kulipa kisasi si ajabu atakuja kujitoa. Muhanga huyo . ogopa sana kitu kinaitwa kinyongo na hasira za ndani huwa ni hatar sana
 
Lema akitoka awe na heshima na adabu kwa Rais wa nchi hii Rais anamuwakilisha Mungu kwenye kutawala Dunia .
Dah, sasa hii ni kufuru iliyopitiliza. Hivi kumbe ni kweli kuna majuha yanayoweza kukatibia kuamini kuwa mag ni Mungu! Wewe una matatizo makubwa sana. Jitafakari upya. Nionyeshe katika maandiko mahali oanapoonyesha kuwa viongozi wa nchi in wawakilishi wa Mungu, kabla a baada ya msalaba!

Jitafakari upya!
 
Sijui kama Lema Mandela anataarifa kwamba Lisu kaamua kumtetea wema na mpaka sasa hajaona umuhimu wa kumtetea yeye?
 
Kwa anayefahamu sheria. Hivi mtz akifungwa miezi sita anaweza gombea ubunge?
 
Hujui kitu nonsense! Kwenye vitabu vya sheria vipi? Upuuzi kama huo hauingii kwenye law reports!
Utasemaje issue hii ya vurugu ya mtu kunyimwa dhamana kwa kosa linalodhaminika maamuzi yake hayawezi ingia kwenye law Reports!!? Vurugu ambayo imeanzia makahama ya hakimu mkazi, mahakama kuu mpaka mahakama ya mwisho nchini Tz. Nakwambia lazima hii ruling ipate muhimu wake kama ni kweli mawakili wa Lema ndio waliokuwa na makosa au ilikuwa ni shida upande wa jamhuri. Nakubali ni kama vile mawakili wa Lema wamewahi kosea kitu kwa mujibu wa magazeti niliyosoma kama yaliandika ukweli. Lakini ni kuwa legal technicality zinaweza kuzuia dhamana ya mtu mpaka pale kesi ya msingi itakapisikilizwa!!? Hicho ndicho ningependa kujua msimamo wa mahakama yetu ya juu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…