Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,059
- 15,736
Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha
kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa.
Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi.
Hata hivyo tangu wakati huo Bwana Damian hajaonekana hadi leo na hajulikani alipo.