Arusha: Kada wa CHADEMA kuvunja chungu kisa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,838
81,835
Alitangazwa wa Chadema, baadaye usiku akatangazwa wa CCM. Sasa wazee wa kimila Arusha masai wamesema wao hawana polisi, ni wa kwao, Mahakama ni zao, TISS ni yao. Kimbilio lao ni kuvunja chungu aliyetangazwa kiharamu afe.

sikiliza
 
Wapasue tu

Utakuta mtu wmenyewe naye alipewa njuruu akapoa…

Lema did it some years back, Aliuza ubunge
 
Samia na mkwewe hawana aibu wala huruma, wamejawa na tamaa na uchu wa madaraka tu
 
Hao ni wahuni waliozeeka. Chungu kwenye siasa inakujaje? Kama wako vizuri wailoge tume ya uchaguzi. Mambo ya kuvunja chungu ni kwa matukio mengine na sio siasa.
 
Wapasue tu

Utakuta mtu wmenyewe naye alipewa njuruu akapoa…

Lema did it some years back, Aliuza ubunge
Umenikumbusha mbali sana aisee. Hata 2010 ilibaki kidogo auze kwa Batilda ila wananchi wakajaa nje jengo la manispaa wakitishia kuchoma moto jengo endapo Lema atauza tena ubunge. Lema alikuwa kwenye hilo jengo.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    52.8 KB · Views: 2
  • download.jpeg
    download.jpeg
    13.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom