Arsernal mnaniumiza moyo, halafu mwenzenu mi ni MHEHE

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,227
157,425
Arsenal mnashika bunduki za nini kupambana na Wajerumani? Babu yangu Mkwawa aliwapiga Wajerumani kwa pinde na mishale.
Arsenal nimewakosea nini Leo mnaenda kujipigisha magoli matano kwa Wajerumani.
Mnamdhalilisha babu yangu nyeee
Kuanzia Leo, narudi Kalenga nikapumzike na mizimu ya Kwetu.
Msinilaumu mimi kwa maamuzi magumu, mimlaumu kocha.

 
Kutokana na asili yako bujibuji nadhani ni suala la muda tu waweza kuungana na babu yako ila pole maana kipigo mpaka umeamua kufungua uzi pole sana.
 
Yesterday from the behind Arsenal got smashed five strokes.
 
Binafsi kuanzia jana nimesitisha kushabikia hadi babu atakapoiacha Arsenal
 
Binafsi kuanzia jana nimesitisha kushabikia hadi babu atakapoiacha Arsenal
Mkuu hata mie nimeamua kutoangalia mech zote za arsenal had pale Wenger atakapoachia timu,nacmama na hilo tu.
 
Mkuu hata mie nimeamua kutoangalia mech zote za arsenal had pale Wenger atakapoachia timu,nacmama na hilo tu.
Kumbe tuko wengi niliona hii ni kupeana presha kabisaa tunajipaga matumaini labda safari hii atashinda lkn inakuwa hola
 
Pole mkuu. Mie nilikuwa nashabikia kitimu hiki wakati ule DSTV inaanza hapa nchini lakini mawazo yalianza kubadilika pale ITV walipokuwa wanatuonesha mechi za Marekani ya Kusini na nikaachana kabisa na EPL kwa ujumla. Hamie BARCA mkuu ufaidi utamu wa soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…