tonii herrera
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 368
- 212
wataalam naombeni msaada wa apps za video zinazoweza kuonesha movie baada ya kuzi download maan ninazo baadhi lkn hazi play movie.

mkuu kwani hizo movies ni format gani? yaani extension eg MP4, 3gp.. video player nyingi hukubali hizo... jaribu VCL, VIDEO PLAYER, ...
Tafuta mx player ndio baba lao
Hiki ndo kitu cha muhimu kwanza kwa sisi kujua kabla ya kukusaidia kukusaidia tonii herrerafile extension inasomekaje?
Wakuu samahanini.... mie pia naomba msaada kwa anayejua free apps za kudownload videos ambazo hazina complexities kutumia anisaidie.....na km pia ipo app inayoweza kudownload video za YouTube itakuwa njema zaidi
yaan nime downlod series kwenye kuplay hazioneshi ila inaonyesha km movie inaendelea lkn huion