Alexander McQueen Senior Member Aug 30, 2016 186 41 May 22, 2017 #1 Kwa wale wanaotaka kufanya maombi na kufungua email address pamoja na kuchagua kozi nzuri kulingana na matokeo yao. Tuwasiliane whatsap no. 0758-494651
Kwa wale wanaotaka kufanya maombi na kufungua email address pamoja na kuchagua kozi nzuri kulingana na matokeo yao. Tuwasiliane whatsap no. 0758-494651
luginyo JF-Expert Member May 26, 2013 1,385 637 May 22, 2017 #2 Kiongozi maombi yanapitia chuo mfumo umebadilika
Good Father JF-Expert Member Feb 28, 2014 10,321 18,573 May 22, 2017 #3 Hiyo gharama ya 5,000 ulikusudia kuandika Tsh 5,00/= au vipi mkuu??
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 20,819 26,180 May 22, 2017 #4 Na ADA je unawasaidia kulipa mkuu?