Barabarani
Member
- Sep 27, 2017
- 19
- 8
![205a5d0a16f85a052b91672f978a2700.jpg](/proxy.php?image=http%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2Fmobile-gallery%2F205a5d0a16f85a052b91672f978a2700.jpg&hash=cf6c4a9bf2b283f054e928a362791104)
![b740cf72d05aacaf102f26d2ab8bdc70.jpg](/proxy.php?image=http%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2Fmobile-gallery%2Fb740cf72d05aacaf102f26d2ab8bdc70.jpg&hash=1449e20fd9d9715242b1487385e453ee)
Alama za Barabarani Quiz Application ni Application ya simu inayokuwezesha kujifunza kuhusu ALAMA na kanuni za USALAMA BARABARA NI.
Trial/free version Ipo Play Store na App Store:
Alama Barabarani Quiz Lite on the App Store
PlayStore: Alama Barabarani Quiz Lite – Програми Android у Google Play
Ni nzuri hasa kwa wanaosomea leseni ya udereva pamoja na waliofuzu udereva wanaopenda kuendelea kuimarisha ufahamu wao na kujikumbusha wajibu wa kila siku unapokuwa barabarani. Kwa kufahamu maana na wajibu unaoambatana na kila Alama, utafahamu pia haki zako na kuepuka kulipishwa faini usizostahili.
App hii imetengenezwa kitaaluma kwa ajili kusaidia kujifunza kuhusu usalama barabarani kwa namna ya kitaalam (pedagogic) na ya kufurahiha, na inayojumuisha maswali ya kufikirisha na kuchangamsha pamoja na ChemshaBongo.
* Application ina vitu vifuatavyo:
» Alama na Michoro yote ya Barabarani
» Maelezo yanayojitosheleza
» Maswali kujenga ufahamu wako
» Makundi mbalimbali ya Alama za Barabarani
» ChemshaBongo kupima uelewa wako na kuongeza ujuzi
» Uwezo wa kutafuta alama yoyote unayotaka
» Picha za Ubora wa hali ya juu
» Michoro nadhifu!
» Maswali bila ukomo
» Hakuna matangazo yanayokera
» Ipo kwa Android na iOS.
» Hakuna ada za siri
» Huduma kwa wateja kupitia barua pepe.
» Maelezo kwa Kiswahili!!!
«»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»
ALAMA NA MAELEZO YAKE yametolewa kwenye maelekezo na taarifa za WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI & MAWASILIANO.
Epuka Ajali. Jifunze Alama za Barabarani!!