Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,655
- 6,027
Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
Asante mkuu,, nimepata hii na nimetumia yaani iko very simple,Ilovepdf nenda google
Mkuu hii ni baba laoNenda Google, andika ILOVE PDF shida zako zinakuwa zinaisha haraka kwa documents yeyote
Yeah hiyo ni nzuri sana na rahisi...........Mkuu hii ni baba lao
Ingia Google andika I love pdf au tumia app ya clear scanner iko poa sanaWakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa