App ipi ni nzuri kwa ajili ya betting (ubashiri wa michezo)?

iamriq_arthur

JF-Expert Member
May 1, 2021
452
1,112
Natumai mu wazima wa afya vipenzi.

Naomba kujuzwa ni App gan nzuri kwaajiri ya betting.
 
Natumai mu wazima wa afya vipenzi,
Naomba kujuzwa ni App gan nzuri kwaajiri ya betting.
1730811431162.png

I ngia hapa kwa "wazee wa kuweka mzigo":
Pitia comment kadhaa na hakika utajua ni app ipi wengi wanatumia:
 
Naomba kujuzwa ni App gan nzuri kwaajiri ya betting.
Boresha au badilisha swali iwe hici:

Je ni app ipi wanatoa fedha bila longolongo kwa wadau (au "wazee wa kuweka mzigo mikubwa" ) hapo utaeleweka zaidi na wadau.

Yaani kigezo cha kuchakua app iwe ni urahisi wa kupata fedha yako, bila kujalisha ni Mamiliaoni mangapi umepiga.

Angalizo: Betting imewafilisi wengi. Try at you own risk
 
Back
Top Bottom