House4Rent Apartment zinapangishwa KIGAMBONI karibu na daraja la Nyerere,0652180400

NANGAI MSUMI

Senior Member
Apr 12, 2015
146
94
#Kigamboni city. Apartment for rent. Tsh 250,000/= tu Chumba kimoja Cha kulala ambacho ni Master. , ukumbi na jiko. Zipo nyumba 9 zinatumia geti moja kuu, pia Kuna ghorofa ambapo ground floor kutakuwa na duka kubwa.
#karibunisana
IMG_20220618_103038_7.jpg
 
Aisee hizi zinafaa sie mabachela. Unapokea kodi ya miezi mitatu au rental ya wiki nije nijidabulie warembo wa mjini
 
Mmmmh nazijua hizi apartment za hivi, wadau msijiroge ukikaa humu utakutana na majirani wavaa vinjunga kazi yao "ku trade" ofsi zao ni geto zao ukitoka kwenda kibaruani wanazama kwako anaenda kumuomba mkeo pasi, ndoo ,beseni au chaji, kavaa kitaulo tu,..ohooo !!Abiria Chunga mzigo wako..
But kama huna familia ni mahala pazuri xn,
 
wanaleta uchawa hao wavaa vinjunga
 
Mmmmh nazijua hizi apartment za hivi, wadau msijiroge ukikaa humu utakutana na majirani wavaa vinjunga kazi yao "ku trade" ofsi zao ni geto zao ukitoka kwenda kibaruani wanazama kwako anaenda kumuomba mkeo pasi, ndoo ,beseni au chaji, kavaa kitaulo tu,..ohooo !!Abiria Chunga mzigo wako..
But kama huna familia ni mahala pazuri xn,

Imenibidi nicheke tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom