Anthony Mtaka ni RC mwenye busara na hofu ya Mungu, viongozi vijana jifunzeni kutoka kwake.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
59,999
104,333
Wanabodi huwa sina kawaida ya kucopy mabandiko ya watu huko Facebook na kuyaleta hapa, ila alichoandika leo RC wa Simiyu rafiki yangu Anthony Mtaka kimenigusa na kuona nilete hapa maandiko yake huwenda yakawaponya wale wenye viburi wapo humu na wanajijuwa vyema walivyoota mapembe.

Anaandika Anthony Mtaka......


NIWAKUMBUSHE TU KWAMBA CHEO NI DHAMANA,WALIKUWEPO KABLA YETU NA WATAKUJA BAADA YETU-MAISHA NA LUGHA ZA Mh.Mbunge wa Mbozi(wakati wa uongozi wa awamu ya tatu) ENZI NIKISOMA CHUO CHA UALIMU MARANGU KWA MKUU WETU WA CHUO WA WAKATI HUO Israel Eliamringi- ZILINIFUNZA SANA MPAKA LEO.(Mlio na Dhamana epukeni sana kubeba hivi vyeo mabegani(Nimewaza tu kwa sauti nikiwa Hapa GAMBOSHI BARIADI)
 

Mkuu leo umefufuka? Karibu sana.
 
Panaweza pasikuche.Haya maandishi ya hivi,mi nilijifunza kwa Nape Nnauye
Alisema usiku,asubuhi kulipokucha ikawa nyuma geuka!!

Gambo na Bashite sio wao,ni "nguvu" ya nyuma yao
Heri kufa ukiwa unasimamia unachokiamini kuliko kuishi usichokiamini, bora mara elfu akafutwa cheo lakini akabaki kuishi anachokiamini kuliko kuishi asichokiamini.
Ninaamini Mulongo anajutia nafasi aliyopewa kwani alitumwa kuwadhibiti wapinzani naye akaingia kichwakichwa na akaharibu future yake na taswira yake mbele ya jamiii, hakuna mahali atagombea si udiwani au ubunge kwani kivuli cha mabaya kitawafuata.
Yule wa Dar na Gambo ni suala la muda ili wafutike kwenye ramani ya siasa kabisa
 
Kupigiana debe naona kumeanza, kama anatenda kazi aliyopewa vizuri atabakishwa kama hatendi ni bye bye.
 
Huyu haiwezi kasi ya Magufuli , akimaliza wiki akabatizwe upya , awamu ya 5 inataka RC anayepambana na wananchi , inataka RC atakayeamuru bomu lipigwe sokoni .
Mungu huwa hamtumi mwana wa Mungu, tena kwa Anthony Mtaka na kisingizio wanacho ni Rais wa chama au shirikisho la riadha Tanzania, usishangae kuambiwa tumempunguzia majukumu ili aweze kusimamia maendeleo ya riadha kwa ufanisi, hawanaga aibu hawa hata kidogo, wanataka uwe mtu ambaye mshipa wa aibu umekufa kama wa Mwakyembe.
 
Awamu ya misukule isiyo na chembe ya aibu
 
Huyu naye ataomba kustaafu muda siyo mrefu.
 
Anthony ni Mkuu wa mkoa anayejitambua,, huyu nilikuwa namweka nyuma ya Meck, anakuja yeye akifuatiwa na Amos baadaye anakuja mama Taleck. Hizi zingine ni takataka tuuuuuu!!
 
Kupigiana debe naona kumeanza, kama anatenda kazi aliyopewa vizuri atabakishwa kama hatendi ni bye bye.
Mimi nimpigie debe mtu wa ccm nina wazimu? Anthony Mtaka ndio RC pekee anayejuwa Tanzania ya viwanda inahitaji uwezeshaji wa aina gani, hakika Simiyu wamepata kiongozi na zuri zaidi hana kelele wala siyo attention seeker wa media.

Kuna mpuuzi mmoja kuwekwa benchi na media miezi miwili tu makalio yanamuwasha anahaha mpaka anahonga pesa ahojiwe na star tv, shame.
 
Anthony ni mcha Mungu sana sijui ni kwa nje tu au na ndani? Maana huwa namwona anaimba mpaka kwaya kanisani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…