Annual increment ya 2024/25

GeofK

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
964
1,216
Habari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
 
Taarifa ni kwamba tayari tushapigwa na kitu kizito.
Nilikuwa nasubiria pesa ipande nikope but bilabila. Nimekopa hivyo hivyo.
Panga bajeti zako kwa mshahara huohuo.
No maajabu
 
Annual increment kwa sasa itaingia tarehe uliyoajiriwa! Mfano, umeajiriwa tarehe 10/05/2010 utakuwa unaona increment ikifika mwezi huo.
 
Habari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
Ndugu mtumishi,mama SSH aliahidi kutoa "pekeji" iloshiba.Basi,iweni na subra.Aaaamiin!🙏
 
Habari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
Ukome kuchagua CCM
 
Ndiyo hayo maV8 unayaona huko mtaani
 
Safari hii tunawaomba muwe wapole. Maana hela zenu za tumenunulia pwikipwiki za kusajili vilaza wengine wa kutusaidia kupata kura/kula za bure kwenye uchafuzi ujao.

Tutawakumbuka mwakani.
 
Habari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
Mbona nasikia hata walioahidiwa kulipwa mapunjo yao ya kikokotoo nao wamepigwa na kitu kizito kichwani?tukiwaambia achaneni na serikali za kidhalimu hamsikii.mtaliwa vichwa mpaka akili iwasogee
 
Back
Top Bottom