Mh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa.
Kuna baadhi ya taarifa zinasema kwamba huenda akateuliwa kuwa balozi katika mojawapo ya nchi za ng’ambo.
Ofisa mmoja wa Ikulu ambaye hakupenda kutajwa jina lake alinukuliwa akisema kuwa “Rais Magufuli anajiandaa kumpangia Kilango kazi nyingine na kuna uwezekano mkubwa akateuliwa kuwa balozi katika nchi za Ulaya, Marekani au Asia”, alisema.
CHANZO: Gazeti la ZANZIBAR YETU
MAONI YANGU
Rais Maguguli anajua sana kucheza na akili za watanzania. Staili yake ya utumbuaji majipu imenjengea umaarufu kwa wananchi kiasi kwamba kila jambo analofanya, liwe zuri au baya, wananchi hushabikia tu kama jongoo pasipo kuelewa mantiki na manufaa yake kwa umma wa watanzania.
Wakati watanzania wanamshabikia Magufuli kwa kutumbua JIPU kumbe ndio kwanza anafikiria kulipangia JIPU kazi nzuri na ya heshima zaidi ya Ukuu wa Mkoa. Nchi hii haiishi vituko.
Atakuwa ni Mnikulu msaidiziMh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa.
Kuna baadhi ya taarifa zinasema kwamba huenda akateuliwa kuwa balozi katika mojawapo ya nchi za ng’ambo.
Ofisa mmoja wa Ikulu ambaye hakupenda kutajwa jina lake alinukuliwa akisema kuwa “Rais Magufuli anajiandaa kumpangia Kilango kazi nyingine na kuna uwezekano mkubwa akateuliwa kuwa balozi katika nchi za Ulaya, Marekani au Asia”, alisema.
CHANZO: Gazeti la ZANZIBAR YETU
MAONI YANGU
Rais Maguguli anajua sana kucheza na akili za watanzania. Staili yake ya utumbuaji majipu imenjengea umaarufu kwa wananchi kiasi kwamba kila jambo analofanya, liwe zuri au baya, wananchi hushabikia tu kama jongoo pasipo kuelewa mantiki na manufaa yake kwa umma wa watanzania.
Wakati watanzania wanamshabikia Magufuli kwa kutumbua JIPU kumbe ndio kwanza anafikiria kulipangia JIPU kazi nzuri na ya heshima zaidi ya Ukuu wa Mkoa. Nchi hii haiishi vituko.
That's a lie; a white lieMh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa.
Kuna baadhi ya taarifa zinasema kwamba huenda akateuliwa kuwa balozi katika mojawapo ya nchi za ng’ambo.
Ofisa mmoja wa Ikulu ambaye hakupenda kutajwa jina lake alinukuliwa akisema kuwa “Rais Magufuli anajiandaa kumpangia Kilango kazi nyingine na kuna uwezekano mkubwa akateuliwa kuwa balozi katika nchi za Ulaya, Marekani au Asia”, alisema.
CHANZO: Gazeti la ZANZIBAR YETU
MAONI YANGU
Rais Maguguli anajua sana kucheza na akili za watanzania. Staili yake ya utumbuaji majipu imenjengea umaarufu kwa wananchi kiasi kwamba kila jambo analofanya, liwe zuri au baya, wananchi hushabikia tu kama jongoo pasipo kuelewa mantiki na manufaa yake kwa umma wa watanzania.
Wakati watanzania wanamshabikia Magufuli kwa kutumbua JIPU kumbe ndio kwanza anafikiria kulipangia JIPU kazi nzuri na ya heshima zaidi ya Ukuu wa Mkoa. Nchi hii haiishi vituko.
rais alisema mtu akiharibu hakuna habari za kuhamishwa km tulivyozoea sasa nashangaa bmkubwa kaharibu yy anasema atampangia kazi nyingine au hii inakuwaje wadau?Mh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa.
Kuna baadhi ya taarifa zinasema kwamba huenda akateuliwa kuwa balozi katika mojawapo ya nchi za ng’ambo.
Ofisa mmoja wa Ikulu ambaye hakupenda kutajwa jina lake alinukuliwa akisema kuwa “Rais Magufuli anajiandaa kumpangia Kilango kazi nyingine na kuna uwezekano mkubwa akateuliwa kuwa balozi katika nchi za Ulaya, Marekani au Asia”, alisema.
CHANZO: Gazeti la ZANZIBAR YETU
MAONI YANGU
Rais Maguguli anajua sana kucheza na akili za watanzania. Staili yake ya utumbuaji majipu imenjengea umaarufu kwa wananchi kiasi kwamba kila jambo analofanya, liwe zuri au baya, wananchi hushabikia tu kama jongoo pasipo kuelewa mantiki na manufaa yake kwa umma wa watanzania.
Wakati watanzania wanamshabikia Magufuli kwa kutumbua JIPU kumbe ndio kwanza anafikiria kulipangia JIPU kazi nzuri na ya heshima zaidi ya Ukuu wa Mkoa. Nchi hii haiishi vituko.
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeMarekani nayo ipo Ulaya.
Pia, Sefue nae anasubili kupangiwa kazi nyingine!
Kifupi hakuna kazi nyingine hapo, watasubili sana! Acha waisome nambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
Kwanza tumeshawachoka macc kwa huo usanii wao utadhani tupo bagamoyoKosa kubwa na ambalo Rais amelifanya jana na ambalo kama kweli atampangia tena kazi nyingine huyu Mama litamgharimu na hata kumpunguzia credibility yake ni pale yeye mwenyewe alipoonyesha wazi kusikitishwa na kudanganywa kwake na takwimu za Wafanyakazi hewa na huyu Mama. Kama katika suala tu la Wafanyakazi hewa KAKUDANGANYA kwanini unataka umpe tena Cheo kingine? Achana nae songa mbele tafuta Watu safi na hapo hapo CCM wapo wengi tu.
Atafute mtu mwingine ccm? Kumbe RC, Ubalozi etc lazima awe kada?Kosa kubwa na ambalo Rais amelifanya jana na ambalo kama kweli atampangia tena kazi nyingine huyu Mama litamgharimu na hata kumpunguzia credibility yake ni pale yeye mwenyewe alipoonyesha wazi kusikitishwa na kudanganywa kwake na takwimu za Wafanyakazi hewa na huyu Mama. Kama katika suala tu la Wafanyakazi hewa KAKUDANGANYA kwanini unataka umpe tena Cheo kingine? Achana nae songa mbele tafuta Watu safi na hapo hapo CCM wapo wengi tu.