Anguko la ANC, CCM hamna muda mrefu, anguko lenu halipo mbali

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
3,076
6,425
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani.

Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka.

CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe.

Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JPM, na JPM hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JK , na JK hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Ben, na Ben hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Mwinyi na mwinyi hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi ni zao na JKN. Hapa ndio shida ilipoanzia, why do we even call Nyerere baba taifa, katiba gani hadi apewe hiyo heshima !!!

The only solution to liberate Tanzania from the SIN of CCM ni kuondoa regime nzima ya CCM na kungo’foa roots zake zote na hii liende sambamba na kukata wabunge wa CCM wote kwenye kura.

ndani ya CCM tumefikia hatua ya kuwa na STD 7 failures wabunge wanaoenda kutengeneza sera za miaka 100 ijayo, aibu sana kama taifa.

2025 ni lazima Tanzania tuingie kwenye SERIKALI ya MSETO , 2030 ni Lazima CCM regime ichomolewe completely. Watoto wa viongozi with very low IQ ndio wanakuwa decision makers kwenye welfare ya nchi.
 
Mbongo ni muoga asikuzuge ana hasira. CCM bado ana miaka mingi sana ya kuendelea kuwachezea Watanzania.
Hata ANC walikuwa na mawazo kama hayo hayo.............

Lakini hatimaye ndiyo hivyo, wamelazimika kuunda serikali ya mseto!

Hata CCM pamoja na Hila zao nyingi sana, zikiwemo hizi za kupiga propaganda za kufa mtu, kuwa nchi yetu ipo peponi Kwa maendeleo tulioletewa na CCM, wakati tunateketea😎
 
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani.

Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka.

CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe.

Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JPM, na JPM hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JK , na JK hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Ben, na Ben hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Mwinyi na mwinyi hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi ni zao na JKN. Hapa ndio shida ilipoanzia, why do we even call Nyerere baba taifa, katiba gani hadi apewe hiyo heshima !!!

The only solution to liberate Tanzania from the SIN of CCM ni kuondoa regime nzima ya CCM na kungo’foa roots zake zote na hii liende sambamba na kukata wabunge wa CCM wote kwenye kura.

ndani ya CCM tumefikia hatua ya kuwa na STD 7 failures wabunge wanaoenda kutengeneza sera za miaka 100 ijayo, aibu sana kama taifa.

2025 ni lazima Tanzania tuingie kwenye SERIKALI ya MSETO , 2030 ni Lazima CCM regime ichomolewe completely. Watoto wa viongozi with very low IQ ndio wanakuwa decision makers kwenye welfare ya nchi.
Wasivyo na akili watapinga.
 
CCM wanajua mno kuiba kura na kuvuruga uchaguzi, wakishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama. Siku vyombo vya ulinzi na usalama vikikataa kutumika kuiba kura ndio itakuwa mwisho wa CCM.

Game Over
Kuna jamaa aliniambia walipeleka Wezi kujifunza mbinu za Kuiba Israeli miaka ya 90
 
Kuanguka kwa CCM kunategemea upinzani imara na wakizalendo. Upinzani wetu sio imara na uzalendo wake unatia mashaka, ccm huwa inatabia ya kujirekebisha na kutengeneza upinzani wake wa ndani kwa ndani kwa manufaa ya chama, unaweza kudhani wanachukiana kumbe wanafanya hivyo kwa manufaa ya chama. Upinzani wetu umeng'ang'ana kudai katiba kwa manufaa ya kisiasa badala ya kutetea wananchi. Kwa anayofanya RC Makonda ndio kinachonifanya mimi niamini hata katiba irekebishwe vpi kama tunakosa viongozi bora hakuna kitachofanyika. RC Makonda anafanya kazi nzuri kwa katiba hii hii ambayo wengine wanasema haifai.
 
Noo kuanguka kwa ccm itategemea na mwamko wa watanzania, raia hawa ambao wako busy na simba na yanga na habari za umbea. Hawana idea viongoz wanafanya nini? Laiti hata 10% wangetoka usingizini basi matokeo yangekuwa mengine, lakini until then
 
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani.

Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka.

CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe.

Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JPM, na JPM hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JK , na JK hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Ben, na Ben hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Mwinyi na mwinyi hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi ni zao na JKN. Hapa ndio shida ilipoanzia, why do we even call Nyerere baba taifa, katiba gani hadi apewe hiyo heshima !!!

The only solution to liberate Tanzania from the SIN of CCM ni kuondoa regime nzima ya CCM na kungo’foa roots zake zote na hii liende sambamba na kukata wabunge wa CCM wote kwenye kura.

ndani ya CCM tumefikia hatua ya kuwa na STD 7 failures wabunge wanaoenda kutengeneza sera za miaka 100 ijayo, aibu sana kama taifa.

2025 ni lazima Tanzania tuingie kwenye SERIKALI ya MSETO , 2030 ni Lazima CCM regime ichomolewe completely. Watoto wa viongozi with very low IQ ndio wanakuwa decision makers kwenye welfare ya nchi.
Yote ni yale yale wanamnyanganya msosi simba wanampa fisi. Huyo zuma mwenyewe nchi aliikabidhi kwa familia ya kihindi kipindi akiwa rais hadi wahindi private jet yao inatumia uwanja wa ndege wa jeshi. Afrika ni afrika tu
 
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani.

Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka.

CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe.

Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JPM, na JPM hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JK , na JK hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Ben, na Ben hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Mwinyi na mwinyi hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi ni zao na JKN. Hapa ndio shida ilipoanzia, why do we even call Nyerere baba taifa, katiba gani hadi apewe hiyo heshima !!!

The only solution to liberate Tanzania from the SIN of CCM ni kuondoa regime nzima ya CCM na kungo’foa roots zake zote na hii liende sambamba na kukata wabunge wa CCM wote kwenye kura.

ndani ya CCM tumefikia hatua ya kuwa na STD 7 failures wabunge wanaoenda kutengeneza sera za miaka 100 ijayo, aibu sana kama taifa.

2025 ni lazima Tanzania tuingie kwenye SERIKALI ya MSETO , 2030 ni Lazima CCM regime ichomolewe completely. Watoto wa viongozi with very low IQ ndio wanakuwa decision makers kwenye welfare ya nchi.
CCM inatakiwa ichukiwe na kila mtu kwa haya mambo ya hovyo
 
Yote ni yale yale wanamnyanganya msosi simba wanampa fisi. Huyo zuma mwenyewe nchi aliikabidhi kwa familia ya kihindi kipindi akiwa rais hadi wahindi private jet yao inatumia uwanja wa ndefe wa jeshi. Afrika ni afrika tu
Broo South kuna nafuu kubwa sn tofauti na huku kwetu, kumeoza haswa
 
South kaifikisha hapo mkaburu na ni kwamba kaikabidhi nchi mwaka 92 yani 32 years ago. Kumbuka wakati anaikabidhi ilikuwa inalingana na kuzizidi baadhi ya nchi za ulaya. Toka kaikabidhi kwa mwafrika imepitwa hata na naadhi ya nchi za afrika kiuchumi. Muda unavyokwenda inazidi kurudi nyuma maana zaidi ya kucheza na kuoa wake wengi hakuna kitu wanafanya cha maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom