Angalia fujo za CCM barabarani. CHADEMA mtakoma Mwaka huu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,720
55,852
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 -0 UKAWA
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.
Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
View attachment 3202707
Wanaokomeshwa siyo Chadema peke yao bali ni Watanganyika wote ambao kodi zao zinafujwa hivi.
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
Hizo fujo zote lakini wapo kama nyumbu maana hadi imebaki siku tatu wajumbe wa mikutano yote ya tarehe 18 na 19 (Kamati Kuu, Halmashauri kuu na Mkutano Mkuu) hawamjui hata kwa jina mtu wanayeenda kumpamba maua ili awe Mwenyekiti wa CCM wa Tanganyika pendwa (a.k.a makamu Mwenyekiti wa CCM bara).

Lakini pia hayo magari yote na hizo posho wanazotesa nazo ni kodi za walipa kodi wa nchi hii.

CCM ndo wanapaswa kuwa nyumbu wa Serengeti kabisa maana hadi dunia ya leo uchaguzi wao ni kama vile wanaenda unyago.
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
Inasikitisha sana hii...pesa za kununua mwendo kasi wananchi wapunguze kero za usafiri hazipo lakini pesa za kununua mayutong na ma scania ya kulia bata zipo....what a cursed nation.
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
sio fujo gentleman,
hiyo ni mipango kabambe ya ccm imara, yenye malengo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kisiasa..

sio mdomo, makelele na kubwekabweka tu kama vyama vingine vya siasa :pedroP:
 
Back
Top Bottom