Anefurahi kweli

Kwakuwa kafany mzungu ila angefany mwafrika ..........tungeanza kutoana akili
Unakumbuka kuna jamaa hapa Tanzania alishawahi kuonesha hisia zake kwa kumkumbatia Kaka mchezaji wa Brazil.Mbona hakutolewa akili. Hata hivyo ukitaka kufanya tukio kama hilo lazima wewe mwenyewe kwanza ujitoe akili kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…