kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,129
- 5,495
Hello bosses and roses....
"Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua au kuweza kufikia ulichokificha. Nikiwa nafanya security audit yoyote ile nikagundua developer ametumia sana 'secrecy' kwenye system yake basi hapo naongeza chupa ya Heineken sababu anakua ameshanipatia uhakika kwamba KUNA LOOPHOLES NYINGI, NA KWA KUWA NI NYEPESI KUWA EXPLOITED YEYE KAAMUA KUZIFICHA BADALA YA KUZIZIBA. Yaani unakua hauna tofauti na mtu anaefunga mlango kwa komeo tu bila kufuri halafu anaweka makuti mbele ya mlango ili watu wasiuone mlango na wasijue hajaweka kufuri.
Turudi kwenye story ya leo. Leo nimeupdate app ya NMB mkononi lakini cha kushangaza ikawa haifunguki kama kawaida. Nikafocus nayo kumbe pale ukiibonyeza tu ikawa inanipa message kwa mtindo wa 'Toast' kwamba "YOU HAVE ENABLED DEVELOPER OPTIONS, PLEASE GO TO YOUR SETTINGS AND DISABLE THEM TO CONTINUE USING THIS APP" msg inawezekana ikatofautiana grammar lkn ujumbe ni ule ule.
Sasa waliotengeneza mfumo wa Android wenyewe wameruhusu Developer options wakijua ni safe, na developer wa APP hana haja ya kuziogopa kwamba zitasababisha app yake iwe cracked au manipulated. Hivi kama unaogopa mtu alo-enable developer settings kwenye simu yake, Je yule aloi-root kabisa simu yake itakuaje sasa. Developers wa android OS wanajua zile 'Developer options' hazipaswi kuwa na madhara lakini ni 'Top Level' tu na haina haja ya mtumiaji wa kawaida kuzifahamu unless awe na mahitaji nazo. Ndio maana zikawekwa kule.
Kwa mfano kwa watumiaji 'Advanced' wa android ambao wao muda mwingi developer options zipo 'on', mnataka tuwe tuna switch to and fro NMB MKONONI kuzima na kuwasha developer settings?
Najua hofu kubwa ni kuogopa app ya NMB Mkononi kuwa cracked, lakini tafuteni mbinu nyingine kuziba loopholes na sio kuficha mlango ulipo kwa makuti.
Happy coding.