Andrew Nyerere pichani akihudhuria mkutano wa Chadema Arusha

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
2,258
7,499
Pichani ni Andrew Nyerere (mwenye mvi) mtoto wa Rais wa kwanza wa Tanzania, akiwa katika mkutano wa Chadema Sanawari, Arusha.
IMG_9992.jpeg
 
Jamaa amechoka!!
Ujamaa ni tatizo aisee.

Sidhani kama hata anamiliki kishamba cha ufuta au korosho ili kuusumbua mwili na pia kuchangamsha akili.
 
Back
Top Bottom