Anayeweza Tengeneza Maneno 3D au sticker za Chrome Metal

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
224
591
Nahitaji mtu ambaye anaweza tengeneza maneno kwa umsmart kabisa ambayo yatakuwa 3D kama ambavyo watu walikuwa wanatengeneza number 3D. Mimi nahitaji maneno na font nitampatia

Ama ambaye anaweza tengeneza stickers ambazo ni chrome metal. Please awasiliane nami kwa kuweka namba au kuni pm
 
Unahitaji kwa ajili ya matumizi gani mkuu?
Na yanatakiwa ya ukubwa gani?

Ila hapo kwenye chrome metal kipengele.

Njia 1, zitengenezwe kwa aluminium metal, kisha zifanyiwe chrome plating.
Sina hakika na upatikanaji wa hizo chemicals.
 
Back
Top Bottom