Yusomwasha JF-Expert Member Dec 5, 2014 2,092 838 May 2, 2016 #1 Kuna dogo yupo arusha anasoma chuo anahitaji.mishe yoyote au kazi ya kufanya weekend ili apate pesa maana anasoma na anahitaj kupata pesa Huyu kaka anataka kazi hasaa wekeend kwa arusha jamani
Kuna dogo yupo arusha anasoma chuo anahitaji.mishe yoyote au kazi ya kufanya weekend ili apate pesa maana anasoma na anahitaj kupata pesa Huyu kaka anataka kazi hasaa wekeend kwa arusha jamani