Anatumia simu yake wakati wa kufanya tendo la ndoa? Sijapenda kabisa, nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,688
17,107
Mteja; Money Penny

Money Penny: ndio boss

Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu

Money penny: nini tena jamaan

Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya

Imagine wakati nampa utamu kitandani yeye anachat na simu anaongea na simu sasa ndio nini?

Money Penny: haya wanawake mje mumsaidie mteja swali lake me bado nimevurugwa na habari za Burna Boy, P.Diddy na Mondi wenu,

Ila ile miguno ya Burna Boy jamaan, naskia kutapika
 
Kuna namna anaonyesha haridhishwi na hiyo mizagamuo ,yaani hakuna unachokifanya ndio maana anaendelea na mambo mengine , kama nzii kukaa mgongoni mwa tembo tu hakizuii shughuli nyingne za tembo.
Ila wanawake
 
Mteja; Money Penny

Money Penny: ndio boss

Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu

Money penny: nini tena jamaan

Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya

Imagine wakati nampa utamu kitandani yeye anachat na simu anaongea na simu sasa ndio nini?

Money Penny: haya wanawake mje mumsaidie mteja swali lake me bado nimevurugwa na habari za Burna Boy, P.Diddy na Mondi wenu,

Ila ile miguno ya Burna Boy jamaan, naskia kutapika
Prostitute at work
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom