Eee Bhana eee..! Hii imekaaje wakuu, kwanza habari za jumapili? Kwa wale mlioenda kanisani mtuombee na sisi tupende kwenda uko maana tupo tupo tu..! Sasa stori ni hivi ..juzi kati apa katika mishe mishe zangu za kutafuta angalau hata hela ya kula na kulipa kodi ya geto maana apa chuga khali imekuwa ngumu kweli kweli. Basi nikakutana na mtoto mmoja mkali njiani ilikuwa ni mida ile ya kutoka job kwa wale waajiriwa wanajua.
Basi katika moja na mbili nikajikuta namsemesha maana nilimkuta njiani ivyo tukawa tunatembea wote. Basi zile Stori za mwanzo unaitwa nani nini una stay wapi mara umependeza ili kumuweka kwenye njia, uzuri mimi niko fiti kwenye hizi harakati hivyo haikuwa ngumu maana naeza mfanya demu akanizoea mapema sana na akawa comfotabo kabisa.
Mwishowe nikamwomba namba japo ilikuwa ngumu ila alinipa nikamwacha asepe na mimi nikajikataa zangu ..nikamvutia kasi adi kesho yake jioni nikamcheki kweli akapatikana. Nikamuuliza kama ana nafasi tupige stori mbili tatu lengo nimchangamshe (kikawaida mimi nikipataga mali mpya huwa aichukui siku nne nishaitafuna na mara nyingi sitongozagi mwanamke namchombeza adi analeta papuchi mwenyewe)
Bas mtoto wa watu nikaanza mpanga na nini baada ya muda mfupi kweli alichangamka sana na nikamfanya yeye ndo awe ananitafuta. Kuna Muda tukawa tunabonga adi naiti kali na hiyo ni baada ya siku tatu tu. Uku nimepanga siku ya nne nimvute geto ambayo ni ilikuwa jumapili kama ya leo. Kweli mtoto akaja basi mchizi kama kawaida yangu nikaenda mchukulia msosi na kinywaji na mimi nikazuia maji kubwa.
Dogo mwanzoni alikuwa mwoga kweli mara ya kwanza ila nilimseti akalegea shida ilikuwa kwenye kumuweka(kumgegeda) ilikuwa tafrani kweli kweli badae kabisa akanimbia yeye ni bikra na kweli kimuonekano bado ni mdogo ana kisura cha kinyaturu yani ule unandy flani ivi.
Wakati nikiendelea na mapambano akapigiwa Simu na jina limeseviwa "future husband" wakaongea uku mim naendelea kunyonya vichuchu Vyake, nikasikia jamaa kamuita waonane basi akaniomba and atakuja siku nyingine. Kiroho safi nikamkubalia akasepa, kwa iyo mwamba nikawa nimefeli apo kwa mara ya kwanza dah!!!
Ili kukamilisha ratiba yangu ikabidi nimuite Asha(siyo Jina khalisi) basi demu akaja apo nikapiga show japo so kivile haikuwa kwenye mipango, bas Asha akaoga zake na kusepa. Badae kushika simu nakuta namba na yule dogo kapiga simu za kutosha na ujumbe ulioandikwa "bikra yangu utaioa wewe ila mimi naolewa mwezi ujao" yani mwezi wa Saba sasa.
Nikawa sijamjibu alivyoona kimya akapiga tena na tena na tena na sikuwa na simu karibu niliacha ndani nilienda tafuta msosi wa jioni. Narudi ivi nakuta miscol zake kama zote na text "pliz nixamehe kama nimekuudhi mpenzi pokea ximu bx " ikabidi nimcheki nianze mdadisi maana sikuwahi kumuliza chochote kuhusiana na maisha yake.
Kwanza kabisa dgo ndo kwanza ana 20, pili kamaliza o level uko kijijini kwao cjui itumbi ndo kaja town na uyo jamaa muoaji ndo kampambania kwanzia anaanza form one adi four. Tayari kwao anafahamika na harusi ni mwezi ujao. Na jamaa anajua demu ni bikra sasa akiikuta haipo itakuwaje? mtoto kaniaidi kuja kunipa niitowe na yupo tayari kabisa na tumekutana ndani ya wiki tatu tu na jamaa yake wana miaka kama mitatu sasa, na ajawahi gusa mzigo dah!!
Nahisi ntamwaribia uyu demu future yake na kuja kujilaumu badae wakati mimi msela sina khabari kabisa. Nikishapiga najikataa zangu kimtindo. Kingine Kwamba uyu jamaa muoaji ni mzima kidogo kiuchumi maana demu kumbe anasoma chuo sasa na yeye ndo anasomesha. Mimi bado jobless napiga mishe tu za kupata ela ya kula na kulipa kodi he he he!!
Mtoto atakuja wiki ijayo saivi wanafanya tests akimaliza tu anatimba geto, mbaya zaidi kanitumia na pic zake za utupu na nilimwomba moja tu.
Hii imekaaje wakuu nipige au niikatae? Maana mamwazia bro anayeoa akikuta patupu itakuwaje?
Hii issue ni kweli wakuu.