Anataka nimpe ujauzito japo bado sijamuoa yupo kwao

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,390
1,342
Kuna dada mmoja anasoma chuo, ni mpenzi wangu japo anajua nina mapenzi, kabila lake ni mmakonde, mweupe na ni islamic..

Shida ni kua ana hamu ya mtoto na anakaa kwao na mama yake, anataka nimzalishe mimi ambae ni mkristu yeye kasema atabadili dini, anatamani tu azae na mtu wa kuzaa nae ni mimi..

Nililala nae sku zake za hatari kwa sku 3, hajapata mimba nahisi hajui mzunguko vizuri kasema ataulizia tena anataka tufanye tena mwezi ujao, hana wivu ila anasema ikitokea nmemuoa ata nikiwa mwanamke mwingine sawa kikubwa yeye kaolewa wengine ni wapitaji...

Nikimuhitaji mda wowote anakuja, ela haombi inaweza kupta ata miezi mitatu, mara moja moja hua analalamika ety simpgii, nikimuuliza kwann wewe haunitafti anasema anajua niko busy so hataki kunikera mpaka nimtafte,

Anasema kikubwa azae kuolewa ni majaliwa mambo ya kuolewa haongelei kabisa, ila anasema akiwa na mimba walau niwe naenda kwao...

Huyu yuko serious au wanataka kuniingiza mkenge
 
Unafanyaje ngono kabla ya ndoa?

Mwaaherati mkubwa wewe🤪🤪
 
Eeeh kua makini
 
UNAPAJUA USTAWI WA JAMII ? NA KAZI ZINAZOENDELEA UKO ??

Kama wewe ni “Kula yangu papatu papatu ,mara niunge vikoba upatu”nakushauri kimbia haraka sana usigeuke nyuma ….Unawajua Ustawi wa Jamii vizuri wewe?😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom