Anatafutwa dereva wa pikipiki kwa ajili ya kazi ya mauzo

Infinity Solutions

Senior Member
Apr 6, 2018
111
89
Habari za Leo,

Anahitajika dereva wa pikipiki kwa ajili ya kufanya kazi za mauzo, delivery na kutanua wigo wa masoko mapya.

Tunajihusisha na uuzaji wa Viungo (Organic Spices).

Vigezo.
1. Awe na leseni ya kuendesha pikipiki, awe anajua kuendesha pikipiki kwa uzoefu na umakini.
2. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
3.Umri. Miaka 18-35.
4. Awe na Smart phone na ajue kutumia mtandao.
5. Awe Mkazi wa Dar Es Salaam.

Mshahara
1. Tsh 150,000/- (Kwa kutimiza Target ) + Sales commission (5% ya Kila Unachouza)
AU
2. Tsh 100, 000 (Usipotimiza Target) + Sales commission (5% ya Kila Unachouza)

Maombi yatumwe kwenda email - hkaranda01@gmail.com, au whatsapp tuu 0784 645 900.
Deadline 15/06/2022.
 
Back
Top Bottom