SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,826
- 2,726
Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri, mimi nipo Kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli.
Awe paka msafi mdogo kabisa na mzuri nianze kumfuga furaha yangu ni paka sometime wanapunguza stress.
0678096545
Awe paka msafi mdogo kabisa na mzuri nianze kumfuga furaha yangu ni paka sometime wanapunguza stress.
0678096545