Anahitajika Mfanyakazi wa Stationery

kiss cool

Member
Aug 17, 2014
67
19
TANGAZO

Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery.

Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu.
Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel, PowerPoint, Ms Publisher) vizuri na Software angalau Moja ya Adobe.

Awe anajua kupiga passport na kuprint vizuri.

Awe anajua secretarial services vizuri. (Typing speed ni kigezo).

Awe na uzoefu wa Matumizi ya Internet hasa Online Application.

Elimu: Form four

Makazi yake yawe si zaidi ya Mbezi Mwisho, Gongolambo, Tabata yote, Buguruni, Ubungo.

Eneo la kazi Kinyerezi, Segerea na Tabata.

Mwisho wa maombi ni 06 April 2024

Mawasiliano 0764068807
 
Ukimpata wa ivi bomba sana, ntakuja kuscan docs zangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom