Anahitajika mdada kwaajili ya kuuza Bulding Materials Dodoma

laurentie

Senior Member
Feb 24, 2012
100
77
Anahitajika msichana mwenye uzoefu na uuzaji vifaa vya ujenzi awe mkazi wa Dodoma.

Sifa

Awe anajua kusoma na kuandika
Awe na uzoefu kwenye mauzo ya vifaa vya ujenzi
Mawasiliano :0712206032

NB: Miezi miwili ya mwanzo ni kamisheni.

Baada ya hapo mshahara utakuwa 500,000 kwa mwezi.
Send email to manzie107@gmail.com
Deal line 12/12/2022
 
Anahitajika msichana mwenye uzoefu na uuzaji vifaa vya ujenzi awe mkazi wa dodoma .
Sifa
Awe anajua kusoma na kuandika
Awe na uzoefu kwenye mauzo ya vifaa vya ujenzi
Mawasiliano :0712206032
N:b miezi miwili ya mwanzo ni kamisheni.
Baada ya hapo mshahara utakua 500,000 kwa mwezi.
Sio kuwa uchukue Engineer kabisa aliyebobea na ni kwa nini unachagua binti. Hii nafasi Ni yangu kabisa, sema sio riziki, ngoja nife na njaa zangu hapa. Chukua mdada Kama ndio kigezo Cha kwanza halafu awe hata technician aliyesomea ujenzi.

Kuna vitu vya kiundani kitalaamu awe na uwezo wa kumuelezea mtani, why twiga cement and not Simba or kiboko sementi. Anaelezea masuala ya kinker zilizotumika. Pia hata chuma ama nondo aweze elezea Kati ya quenched, steel, iron, n k .

Ni mtizamo chief relax stay with your opinions, beliefs, subjectivity, assumptions, biasennes, faiths etc sijaja kutengua your beliefs Bali kuzihoji or kuonyesha kinzani beliefs.
 
Kuuza urembo na vifaa vya ujenzi ni vitu viwili tofauti. Vifaa vya ujenzi havihitaji mdada tu labda Kama unania ya kula kimasihara.

Kuna wakati muuzaji unamsaidia mteja kupamia mizigo, kuipanga n.k hizo kazi utalazimika kuajili vibarua wazifanye lakini akiwa mwanaume atabalance yeye mwenyewe.

Ukibadili mawazo tuwasiliane nitafanya kazi Kwa Bei ya chini ya hiyo nitachukua 300,000 tu Kwa mwezi.
Kumbe ndiyo maana majirani zetu hawatutaki kabisa kwenye kazi zao, mleta mada kasema atalipa laki tano wewe unataka ulipwe laki tatu
 
Back
Top Bottom