tena itakuwa shift ya migodini!Akiwaga huyu,yule evz anapumzika!
Sijui wanapeana shift
Wakuu heshima yenu
Mie nna kaswali kakizushi hv ila huwa inanitokea
Kwa nini mwanaume anaeonesha kunipenda na kunijali sana huwa sina intrest nae kabisa hata kumfikiria dk 1
Ila ambaye haonesh kunijal kiviile ndiye huwa napenda ukaribu nae
Naweza kuwa na pepo au hata wengne huwa inawatokea hvyo?
Swali jingine kwa Wa Dada mie nikiwaga ktk yale mambo yetu ya mwezi huwa nasinzia mfano hakuna hii pia ni sawa au yawezakuwa tatZ!
Kama hauna mchango pita kimya kimya syo lzma uwrte shit apa!
mods merge na hii ID .
ngoja nimwite mama wa michambo