wadau za kwenu? naomba kama kuna mtu yyte anae wajua vizur hawa jamaa nilio wataja hapo juu anicheki kuna vitu naitaji kuvifahamu. kabla sjapigania kujiunga nao.
Haahaahaahaa,.. Mlikua 7 bwana. Au ndio kitete cha usaili. Anyway Mobisol haina longolongo. Ukijiamini na kujieleza vizuri basi unapata nafasi. Hakuna rushwa wala kujuana.