Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 25,489
- 72,846
Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine.
Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000 hadi $10,000!
Mfano, BF wana Leaf 2019 jumla 84, ya bei ya juu ndio CIF $16,000 ila ya chini ipo hadi $6,000 kwann ila nyingi zipo $6-8,000!
Hiyo mosi, na pili, hii gari ni full electric, ebu zipeni kipaumbele zipoe kodi angalau mpunguze mazaga kwenye calculator yenu mfano mkapunguza import duty na VAT mkaipa 10% kama majirani zetu.
Okay, ila hii gari ndio my first EV nasema nikiwa na akili timamu kabisa nitakua nachajia home Kibaha kuanzia Februari/March 2025 navoenda Posta mzigoni.
Kwanini naipenda:
1. Kwanza ni EV, no pollution + comfort ride.
2. Hii ni 2nd gen ya Leaf ina improvements nyingi kuliko 1st gen.
3. Battery lake sahivi kubwa 40kWh (kwa standard mode) na 60kWh kwa Plus model, inaweza nipa range hadi ya 200 km hadi 350 km.
4. Ina design nzuri, ndani na nje.
5. Ina space ndani inafaa kwa matumizi ya familia.
Asante.