Anaandika Advocate Jebra Kambore na kuelimisha Umma wa Watanzania

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,405
81,249
c&p from Jebra Kambole on X

Kuna watu wanadhani serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Mzee Kibao, Kutekwa kwa Soka, Kupigwa risasi

sativa na mateso ya watu wengine! Serikali inahusika kwa namna zifuatazo;

1. Kwa Maneno (kuagiza au maelekezo)

2. Kwa Vitendo ( kufanya)

3. Kwa kutotimiza wajibu wao!

Nini maoni yako?
 
Majibu ya hayo yote itatoa taswira ya ama kutohusika ama kuhusika kwake.Je ni nani mtoa majibu?
 
c&p from Jebra Kambole on X

Kuna watu wanadhani serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Mzee Kibao, Kutekwa kwa Soka, Kupigwa risasi

sativa na mateso ya watu wengine! Serikali inahusika kwa namna zifuatazo;

1. Kwa Maneno (kuagiza au maelekezo)

2. Kwa Vitendo ( kufanya)

3. Kwa kutotimiza wajibu wao!

Nini maoni yako?
Thanks for sharing brother
 
Poleni sana wafiwa sasa mtazika nini? Soka hana ndugu, jamaa na marafiki mboni wamekaa kimya km hakuna kilichotokea?

..familia, ndugu, na marafiki wa Soka na wenzake wanapiga kelele sana kuhusu hatima ya wapendwa wao.

..Sasa kwasababu serikali ya Mama Samia ina kiburi ndio maana unaona kelele hizo zimegonga mwamba.
 
..familia, ndugu, na marafiki wa Soka na wenzake wanapiga kelele sana kuhusu hatima ya wapendwa wao.

..Sasa kwasababu serikali ya Mama Samia ina kiburi ndio maana unaona kelele hizo zimegonga mwamba.
Hawana Waganga konki Wazee wa vifurushi Bwana yule niliwahi kutembelea kilinge kimoja somewhere nikakutana na Gwiji akatoboa Siri kwamba mwamba alikua amechanjiwa kucha ya Simba maeneo fulani ya mwili wake jambo lililomfanya aogopwe kwa ukali wake km Simba, sasa bi nyam pora amechanjwa ya Chui nimefungua kibuyu waambieni hao magwiji wenu wa-deal nae tuone
 
Back
Top Bottom