Kingubwe
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 210
- 165
Wakubwa habari ya saahizi..
nilikua naomba msaada hapo kwa wajuzi nimepata changamoto kwenye laptop yangu hii..
nilikua nafanya baadhi ya mambo sasa nikaihitaji kurestart mashine ili niizime..
nilivyorestart ikawaka ikawa imeishia hapa..
an operating system wasn't found, try disconnecting any drives that contains an operating system- press ctr+alt+del to restart..
ila nikifanya hivyo bado inarudi hapo hapo..
naomba mnisaidie hapo, sikua nimechomeka chochote kwenye pc 🙏