Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,504
3,985
Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.

"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"

"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
 
Wanawake acheni ujinga mtakufa bure sasa unabana uchi unataka umpe nani .

Wewe ukiolewa tambua hauna mamlaka na k yako .mmeo akitaka kuichakata mpe aichakate mpaka inukie halufu ya nyama .

Halafu nanyie wanaume wenzangu acheni ujinga tafuteni michepuko. Lasivyo mtaozea jera mbwa nyie.
 
Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.

"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"

"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Ndio naona comments za heshima. Kumbe ni Martin aliofanyq haya na sio Abdallah?
 
Wanawake Wana mauzi sana,kutegemea tu ku.ma moja kutomba, kulala na nyege ni rahisi sana,.........ndio maana UISLAM unaruhusu wanawake hadi wanne,.......tukubali tukatae UISLAM upo mbele ya muda
 
Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.

"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"

"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Kataa ndoa wanazidi kupata points
Kwa kasi hii, ni LAZIMA taasisi ya ndoa itakuja kuvurugika na kufa.
Ipo hatari kubwa sana kwa kipindi kifupi miaka michache ijayo hapatakuwa na watu ambao watataka kuoa Wala kuolewa. Suala la ndoa litakuwa limefika ukomo wake na kutoweka rasmi katika jamii.
 
Back
Top Bottom