Yawezekana alijua wakizoeana utani utatamalaki. Anashangaa kuona miezi inaenda tuKwani kabla hawajaoana hawakuchunguzana? Ndo tatizo la kuoa kutokana na msukumo wa nyg!
Mambo haya ni very confusing.Ndoa sio dude bhana mbona tunatishana.....
Kipindi cha uchumba waliishije labda??! Hakuliona hilo au aliona halafu akapuuzia, sasa ndo analalamika sio!!
Ha ha ha haaa!! Wenzie tunakimbizana uchi chumbani hadi raha!!
Ha ha ha haaa!! Wenzie tunakimbizana uchi chumbani hadi raha!!
Tangu utoto nlikua napenda soya na ubeche!
Hiyo username yako sasa
Jamani nyeti nilizopenyezewa sasa hivi ni kwamba jirani yangu ambaye ndoa yake ina miezi 8 tu imevunjika.
kwa mujibu wa mtonyaji wangu aliyehusika ktk usuluhishi wa mgogoro Wa wanandoa hao, ni kwamba mke anamkera mumewe kwa kuwa hapendi utani. Wanaishi kwa kufuata mno utaratibu kana kwamba ni viongozi wa dini.
Mume inadai anapenda mke ambaye anaishi naye kama rafikj, kumtania kidogo na kisha wanacheka.
"Huyu mke wangu huyu tunaishi kwa kuongea mambo ya msingi tu. Inachosha". Alilalama njemba huyo.
My take: jamani ndoa ni dude lisiloeleweka.
Ndio hapo mkuu,wengi wao wanaingia kwenye ndoa wakiwa na kigezo kimoja cha kumaliza nyege, wakiwemo ndani sasa wanagundua kuwa ndoa ni mkusanyiko wa vitu vingi sana na ni jumla ya maisha yako unayoishi kila siku.Kwani kabla hawajaoana hawakuchunguzana? Ndo tatizo la kuoa kutokana na msukumo wa nyg!
Hahaaa. Sijui wanatoka mkoa gani mkuuHao majirani zako ni watu wa mkoa gani, inaelekea wana asili ya TARIME au vipi?
Kumchunguza bata hutamlaKwani kabla hawajaoana hawakuchunguzana? Ndo tatizo la kuoa kutokana na msukumo wa nyg!