Amri Kiemba: Hali ni mbaya tunaomba waamuzi waongezewe ujuzi kumbe wanabet

Mike Moe

JF-Expert Member
Nov 3, 2019
300
315
Sisi tunaongea huku tunacheka lakini hali ni mbaya, inawezekana tuko hapa tunasema waamuzi waongezewe ujuzi Kumbe wao nyuma wanabeti
Unaweza kushangaa goal ni offside ya wazi lakini mwamuzi anaacha kwasababu ameweka GG
-Amri kiemba-
 
Attachments

  • 20241225_065945.jpg
    20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 3
Ligi kubwa duniani wanatumia VAR na goal line technology angalau makosa ya waamuzi yamepungua na sisi tuwekeze huko japo tuanze na VAR kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi tata wakati mchezo unaendelea, kuhusu waamuzi kubet hilo ni lakufikirika tu
 
Sisi tunaongea huku tunacheka lakini hali ni mbaya, inawezekana tuko hapa tunasema waamuzi waongezewe ujuzi Kumbe wao nyuma wanabeti
Unaweza kushangaa goal ni offside ya wazi lakini mwamuzi anaacha kwasababu ameweka GG
-Amri kiemba-
Serikali ifunge kampuni za kubeti hapa Tanzania hata kama inaingiza kipato nchini ila ina hasara nyingi kuliko faida. Vijana wanaangamia kwaajili ya kubeti.
 
Hasa mechi za Simba mpira haumalizai mpaka Simba wapewe penati wafunge.
Tatzo vi timu vyenu vidogo ni vya hovyo, JKT Tanzania kaminya mbupu kwa Simba anafikiri kumaliza ligi ni kumfunga Simba tu, Jana watu wametoboa 3 baada ya kubongoa kiurainii.
 
Ligi kubwa duniani wanatumia VAR na goal line technology angalau makosa ya waamuzi yamepungua na sisi tuwekeze huko japo tuanze na VAR kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi tata wakati mchezo unaendelea, kuhusu waamuzi kubet hilo ni lakufikirika tu
Var wamezifungia makusudi vinginevyo Aragija na. Kayoko wangeshafungiwa
 
Back
Top Bottom