Amri 10 za uzinzi

Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,865
3,633
1. Usipokee simu ukiwa chumbani na mke wa mtu unaweza kuwa unafwatiliwa ili uuliwe, pundamilia wewe!

2. Usitumie gari yako inayofahamika. Kodi tax, Uber au bodaboda.....

3. Usiandikishe jina lako halisi katika kitabu Cha wageni guest. Tumia hata jina bandia, jiite hata Kinjikitilelo Mwamunyetoko

4. Funga mlango na funguo kwa ndani ikiwezekana ongeza na komeo. Ziba kitundu Cha funguo kwa nguo, watakuchungulia

5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke kwa pa1 ikiwezekana mwanaume tangulia nje uangalie mazingira ya usalama Kisha ndio umtext mwanamke atoke wakat huo umeshamwandalia usafiri tayari

6. Usimwambie mtu yeyote kuwa unatembea na mke wa mtu

7. Usipite sehem za wazi kwenye watu wengi kama vile bar

8. Ukiona upo sehemu halafu mtu anawaangalia na kuonesha dalili kama za kuwashtukia, achana na mawazo ya uzinzi kimbia hata vichakani

9. Usikubali kuwasiliana nae kwa njia ya sms au whatsap inaweza kuwa Ni ushahidi tosha. Mawasiliano yote yawe ya kuongea tu

10. Sehem moja ukienda usiirudie Tena. Mkipanga kukutana guest flan, akifika badilisha mawazo, hama mtafute sehemu nyingine, kuwa mtu wa machale
IMG-20191126-WA0076.jpeg
 
Mabaharia tusioogopa mawimbi wala upepo mkali wa Kisulisuli tumeshafika.

Asante kwa picha nzuri na ujumbe mzito.
Hakika uzi wako umeutendea haki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom