Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,049
- 2,717
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, Amos Makalla amejitokeza hivi karibuni na kusema kuwa vyama vya upinzani vinafanya upotoshaji
Makalla amesema kuwa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa zimejaa upotoshaji kwani hata CCM wenyewe wanaenguliwa
Makalla aliongeza kuwa vyama vya siasa havikujipanga na uchaguzi huu kama CCM ilivyojipanga.
Soma pia: mosi Makalla: CHADEMA wamepoteza muda mwingi kwenye maandamano, kwenye uchaguzi huu hawajajipanga
==========================================
Ni wazi kuwa as we speak CCM imezidi kuona Watanzania ni wajinga na hawawezi kuona hali halisi ya mambo.
Kauli hizi za Makalla ndio husababisha watu wengi wasipige kura maana inaonesha kuwa kumbe wanasikia yanayoongelewa lakini hawataki tu kuyafanyia kazi