AMOSI GABRIEL MAKALA, Mwenezi wa CCM Taifa umekuwa ukitoa sana matamko kuhusu mambo yanayofanywa na wabunge tumekusikia ulitoa tamko suala la Mbunge wa CCM aliyesema boom lipunguzwe kwa wanachuo kwa sababu wanatumia fedha hizo kulewa pombe.
Tumekusikia ukitoa tamko la chama kuhusu kauli ya mbunge Nape kuhusu uchaguzi kwamba ccm haitegemei wapiga kura yenyewe inategemea wasimamizi na wanaohesabu kura.
Suala la Mpina limekipasua sana Chama cha Mapinduzi kuhusu sukari huku wengi wakiona ameonewa kwa kusimamia imani ya chama ya kusema kweli daima, na baadhi ya wachache wakiona ni sawa tu alichofanyiwa.
Wewe kama msemaji wa chama kwanini hujatoa tamko lolote kuhusu suala la sukari na adhabu aliyopewa Mpina na SPIKA.