Amiri Jeshi Mkuu atunuku Kamisheni kwa Maofisa wa JWTZ!

Hivi kwanini TZ viongoz wengi wakiwa kwenye picha ya pamoja wanapenda kuweka miguu yao alama ya x.,...kwa kuikunja KWA chini,..
na sio TZ2 hata nchi zingine
 
Hili swali lako linahitaji utaalamu wa hali ya juu kulijibu, mtu anaweza akaona ni swali la kitoto ila nadhani wataalamu wa saikolojia wanaweza wakalijibu vizuri kwa sababu wako hapa,
Ni kama msichana akitongozwa kwa nini ajin'gate ngate vidole?
 
Pamoja na kukaa pamoja bado ni lazima hadhira itambue (kupitia picha) nani ndio mhusika/wahusika wakuu, hasa hizi zinazohusu jeshi.

Ingawa kuna mmoja wa maofisa ambae nae hakukunja miguu.

Ni masuala ya itifaki za kijeshi tu mkuu.
 
kikwwete,mkapa,mwinyi hata nyererer pia picha zao wote wanmeweka X.,..ktk miguu,..
ila li JPM dahh tofauti kakaa pozii bayabayaaa kajiachai2 yaniiii,...
naskiaga ni ufreewill(masonic symbo)
ila sitaki kuamini maana waTZ siunawajua
 
ila wengine hata kma hawapo ktk maswwala kijeshi,..i mean viongoz tu wakawaida
huwa wanaweka hivyo miguu yao mostly...
 
kikwwete,mkapa,mwinyi hata nyererer pia picha zao wote wanmeweka X.,..ktk miguu,..
ila li JPM dahh tofauti kakaa pozii bayabayaaa kajiachai2 yaniiii,...
naskiaga ni ufreewill(masonic symbo)
ila sitaki kuamini maana waTZ siunawajua
Masonic??? Bora ungeacha tu kukoment, utaonekana kuwa wewe ni kiazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…