Amenitokea leo usiku anatisha sana

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu,

Leo saa 8 usiku nimetokewa na kibwengo zimwi,kinatisha mbaya, kina mkia wa punda, kwato miguuni, pembe kichwani kama mbuzi, sura ya binadamu, ana ulimi wa kenge mrefu kama kamba, kinatema moto.Wakuu nilitoka nduki mpaka Kariakoo kwa miguu
 
Acha uongo wewe !
 
xx wakt unatok nduki ulitak miguu uiache?
inategemea uko wap,mf faya na kko n cmple t
 
Wakuu,

Leo saa 8 usiku nimetokewa na kibwengo zimwi,kinatisha mbaya, kina mkia wa punda, kwato miguuni, pembe kichwani kama mbuzi, sura ya binadamu, ana ulimi wa kenge mrefu kama kamba, kinatema moto.Wakuu nilitoka nduki mpaka Kariakoo kwa miguu

Mkuu hata flow ya maneno yanaonyesha hii ni adithi ya kutunga tu!!!
 
Nakumbuka dark story yako flani hv ya ajabu eti "....ndo namalizia mikumi naelekea sua..."
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…