Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.
The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.
Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.
Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block,, nisijibu wala kupokea sms zake?