ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
MwagaHabarini....Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!
Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na demu fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale japo niliibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromice kuwa akihitaji kuwa na Mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marifiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye!
Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale demu wangu anayo yasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na nina ambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga
Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini anazingua....
Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? nikaona haita saidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haita saidia nashindwa nifanyaje,sijui niteme siri zake zingine zote na sababu ilio tufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu
Je nimwage Ugali? au nikaushe kiume
Kwani ulimfuma anapitiwa mfereji wa maji taka?Habarini....Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Kwani uhusiano ambao sio ndoa huwa na siri gani?
Mnauza ngada!!!?