LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 589
- 2,209
Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo.
Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida
Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa anaishi na mume wake ambaye wamezaa mtoto mmoja
Mume alisafiri kutokea mwezi wa tano mwaka huu hivo kuna mwanaume jirani akaona jimbo liko wazi basi akawa amekaimu na kuendelea kula mema ya dunia
Sasa mwezi huu wa kumi mwaka huu mume alirejea nyumbani na kukuta mke wake anao ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 2
Mke akadai kuwa ni wa huyo mume wake, mume akaukataa na kudai hajahusika na huo ujauzito ikabidi ashirikishe familia ya mke, nilivoambiwa walisuluhishwa
Sasa siku ya jumapili tar 20 mke alienda kanisani baada ya kurudi akakuta mume kabeba kinacho mfaa na akatokomea anapojua yeye.
Huyu ndugu yangu akaamua kuchukua maamuzi magumu ya kunywa sumu na kupoteza maisha,
Baada ya tukio kutokea jioni huyu jamaa aliyekaimu nafasi na kuweka kiumbe chake hapo naye ilipofika usiku naye akatoroka kuepuka lawama.
Tushazika mdogo wetu ili hili tukio limeacha maneno mengi na kulaumiana huku mwanaume mwenye mke akiibuka kama starling kwenye hii movie ya kushangaza na kusisimua.