Ameibiwa leseni wakati anajiandaa kwenda interview, afanye nini?

Copro mtego

JF-Expert Member
Aug 22, 2022
619
794
Habari wapendwa nipo na ndugu aliomba kazi za afya zilizotangazwa yeye ni clinical officer na alifanikiwa kuchaguliwa baada ya mtihani wa usaili.

Sasa wakati anasubr siku ya oral interview ameibiwa pochi yake ikiwa na leseni yake ya kazi. Naomba msaada wenu afanyeje ili aweze kuwa eligible na interview.

Maana interview bado siku chache aende.
 
aende polisi achukue lost report ikiwa taarifa sawa na zilizopo kwenye cheti husika kisha aende kwenye taasisi husika uliyompa iyo leseni then ama watampa cheti kipya or statement of results and attested proof
 
Nashukuru Mkuu ila sio chet cha matokeo ni leseni ya kazi
 
Habari wapendwa nipo na ndugu aliomba kazi za afya zilizotangazwa yeye ni clinical officer na alifanikiwa kuchaguliwa baada ya mtihani wa usaili.

Sasa wakati anasubr siku ya oral interview ameibiwa pochi yake ikiwa na leseni yake ya kazi. Naomba msaada wenu afanyeje ili aweze kuwa eligible na interview.

Maana interview bado siku chache aende.
Pole sana kwake. Wezi ni viumbe katili sana. Atoe taarifa polisi.

Nawashauri tu muwe mnascan hizi doc na kuzisave kwenye email/ drive. Hata kama utaibiwa angalau ile copy utakuwa nayo kwa tahadhali.

Wezi wanatia hasira sana na wanarudisha nyuma maendeleo ya watu.
 
Police Loss Report na ajaribu kuwasiliana na hao watoa leseni kama wanaweza kumpa documentation ya issue yake kwa uharaka kiasi gani kama haiwezekani basi siku ya interview ajaribu kwenda na vielelezo vya kuibiwa (sidhani kama hao wadau hawajui kama huwa wizi)
 
Pole sana kwake. Wezi ni viumbe katili sana. Atoe taarifa polisi.

Nawashauri tu muwe mnascan hizi doc na kuzisave kwenye email/ drive. Hata kama utaibiwa angalau ile copy utakuwa nayo kwa tahadhali.

Wezi wanatia hasira sana na wanarudisha nyuma maendeleo ya watu.
Nilifanya hivi kwenye birth certificate nili scan na kuprint jamaa wa utumishi alinitimua kama mbwa koko na mbaya zaidi mpaka naenda kwenye usahili nilikuwa najua Ile inakuwa haina tofauti na original msimamizi ananiambia ni copy na kwakuwa cheti original kilikuwa mkoa mwingine mbali na eneo la usahili ambapo sikuweza kukipata ndani ya muda husika I was so disappointed kukosa nafasi ya kufanya interview Ile usiku ule sikuweza kulala kabisa.
 
Mbona wapo kabisa,wanasema siku ya usaili uende na vyeti halisi.
 
Back
Top Bottom